WANANCHI KUUNGA MKONO JUHUDI ZA SERIKALI

Kamati ya ustawi wajamii ya baraza la wawakilishi chini ya makamo mwenyekiti mh: nassor salim ali imesema imeridhishwa na miundombinu ya kiutendaji na ufundishwaji wanafunzi na kuwataka wananchi kuunga mkono juhudi za serikali za kuwaletea wananchi wake maendeleo ikiwemo sekta ya elimu.

Hayoyameelezwakwanyakatitofautikatikaziarayakamatihiyoiliyotembeleakuonachangamotonamaendeleoyaelimukatikachuokikuu cha suza tawi la pemba, skuliyasekondariyaufundikengejanamo’hdjumapinduawilayayamkoani.

Makamomwenyekitihuyoamesemaserikaliimekuwaikifanyakilanjiakuwapunguziawananchi wake ugumuwamaishakwakugharamiabaadhiyamahitajiyahudumazakielimuhivyonibudikwawananchikuzithaminifadhilahizozaserikali.

Nayenaibuwaziriwaelimunamafunzoyaamalimheshimiwasimaimoh’d said aameihakikishiakamatihiyokwambawatazifanyiakazichangamotozilizoponakuzipatiaufumbuziwa kina

Mapemabaadhiyawalimuwakuuwaskulihizowamesemawataendeleakufanyakazikwabidiiilikuonamaendeleoyakielimuyanasongambelekwamanufaayataifa

 

Comments are closed.