UGONJWA WA SARATANI YA KANSA YA MATITI KWA KINA MAMA KUSHIKA KASI KUBWA

Hali ya ugonjwa wa saratani ya  kansa ya matiti kwa akinamama  umeonekana  kushika kasi kubwa ambapo kuanzia umri wa miaka 25 na kuendelea juu .

Akizungumzia hali halisi y augonjwa huo kwa akina mama ambao wengi wao ni waathirika katibu wa jumuia ya zop dr naufal kassim mohd amesema  maradhi hayo chanzo chake kikuu ni utumiaji wa vyakula vya makopo na mafuta  amabapo wanawake wamekuwa ni wahanga wa  watumiaji wakubwa wa vyakula hivyo.

Hivyo ni vyema kwa akinamama hao kujenga utamaduni wa kwenda kupima afya zao mapema  kwa kujichunguza kwani kansa ya matiti inatibika .

Dr naufal amewataka akinamama hao wanaposikia kuwepo kwa kambi za kilink wasipuuze badala yake kuitikia wito kwani  matibabu ya maradhi hayo yanatolewa bure .pause

Nao mashuhuda wa ugonjwa huo  wa saratani ya matiti ambao wamepata tiba  bi mwema mwalimu mziwanda na aziza abdallah wameeleza kuhusu athari ya ugojwa huo na  endapo utaugundulikana  mapema  unatibika  hivyo wamewahamasisha wanawake kufanya uchunguzi mapema . Pause

Jumuia ya zop kwa mwezi huu wa kumi  wmaekuwa wakihamasisha ikihamasisha jamii kuchunguza saratani ya matiti ni zoezi la siku tatu lililoendeshwa na jumuia hiyo katika viwanja vya mnazi mmoja  ambapo kauli mbiu chunguza mapema upate  tiba mapema mwisho.

Comments are closed.