TIMU YA WAWI STAR CHAKECHAKE YAIBUKA NA USHINDI WA MAGOLI 3-0 DHIDI YA NEW STONE TOWN YA KONDE

Timu ya Wawi Star ya Chakechake imejiweka katika hatua nzuri ya kusonga mbele kwenye  muendelezo wa michuano ya Yamle Yamle  Kisiwani Pemba baada ya kuibuka na ushindi wa magoli 3-0 dhidi  ya New Stone Town ya Konde  katika dimba la michezo Gombani.

Comments are closed.