TIMU YA TILALILA YA IMEIFUNGA TIMU YA DOGO DOGO YA MABAO 3-0 KATIKA MASHINDANO YA YAMLE YAMLE

Timu ya Tilalila kutokea Fuoni imefufua matumaini ya kutinga hatua ya 32 bora baada ya kuifunga Timu ya Dogo dogo kutoka Kikungwi mabao 3-0 kwenye mashindano ya Yamle Yamle.

 

 

Comments are closed.