TIMU YA MUHIMU BUKU YA TOMONDO IMEILAZA BLACK LION YA MUYUNI 1 – 0 KATIKA MICHUANO YA YAMLE YAMLE CUP

Timu Ya Buku Muhimu ya Tomondo imeilaza Black Lion ya Muyuni 1-0 katika michuano ya Yamle Yamle Cup mchezo uliochezwa jioni ya leo katika Uwanja wa Magirisi.

Bao pekee la Buku Muhimu waliyovaa Jezi rangi Nyekundu limefungwa na Zamir Makame dakika ya 3 ya mchezo huo.

 

 

Comments are closed.