TIMU YA MOROCO FC IMEFANIKIWA KUONDOKA NA ALAMA TATU BAADA YA KUWAFUNGA TIMU YA GUSA UNASE MABAO 3-0

Mashindano ya Yamle Yamle yanazidi kushika kasi katika Uwanja wa Magirisi Meli nne ambapo jioni ya leo Timu ya Moroco FC imefanikiwa kuondoka na alama tatu baada ya kuwafunga Timu ya Gusa Unase mabao 3-0 .

Comments are closed.