TIMU YA MBIRIMBINI IMETOKA SARE YA 0 – 0 DHIDI YA TIMU YA JUVES CAMP

Timu ya Mbirimbini kutokea Meli Nne Magirisi imezidi kuwa na muendelezo mbaya wa Mashindano ya Yamle Yamle kufuatia kwenda sare ya 0-0 dhidi ya Timu ya Juves camp kutoka Daraja Bovu.

Comments are closed.