TIMU YA MAZOMBI FC IMEIFUNGA TIMU YA UZINI KOMBINE MABAO 2-0 KATIKA MICHUANO YA YAMLE YAMLE

Timu ya Mazombi fc imefanikiwa kutinga hatua ya 32 bora baada ya kuifunga timu Uzini Kombine mabao 2-0 katika Mashindano ya Yamle Yamle mchezo uliochezwa jioni ya leo katika Uwanja wa Magirisi.

Comments are closed.