USALAMA WANGU

Kipindi hichi hutoa taaluma ya masuala ya usalama barabarani ili kuepuka ajali za barabarani pamoja na kutoa elimu ya kisheria kuhusiana na matumizi bora ya barabara.

HUTUJIA KILA SIKU YA JUMATATU SAA 4:45 USIKU

Comments are closed.