MHE. HEMED SULEIMAN ABDULLA AMEZUNGUMZA NA MAAFISA WANAOSIMAMIA MFUMO WA SEMA NA RAIS MWINYI

Makamu wa Pili wa Rais wa zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdulla amewataka Maafisa wanaosimamia mfumo wa sema na Rais Mwinyi (snr) kuongeza kasi katika kutoa majibu ya malalamiko kutoka kwa Wananchi

Comments are closed.