KAMATI YA YAMLE YAMLE IMEENDELEA NA MATAYARISHO YA KUELEKEA UFUNGUZI WA MICHUANO

Kamati ya Yamle  Yamle imeendelea na matayarisho ya kuelekea ufunguzi wa michuano hiyo baada ya leo kupokea zawadi mbali mbali zitakazotolewa katika Michuano hiyo.

Vifaa vimetolewa na Mwanamichezo Nd. Raza Lee na kukabidhiwa kwa Mwenyekiti wa Michuano hiyo

Comments are closed.