JUMUIA ZA KIDINI KUSHIRIKIANA NA WAZAZI NA WALEZI KATIKA KUWASOMESHA WATOTO QUR-AN

Mke wa makamu wa pili wa Rais Zanzibar Mama Sharifa Omar Khalfan amezitaka Jumuia za  kidini kushirikiana na Wazazi na  walezi katika kuwasomesha watoto Qur-an na wakiwa  na umri mdogo ili waipende na kwaihifadhi.

Comments are closed.