DK. SHEIN AWAONGOZA WAUMINI WA DINI YA KIISLAMU KATIKA MAULIDI YA MTUME (SAW)

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi alhaj dk. Ali Mohamed Shein jana aliwaongoza waumini wa dini ya kiislamu pamoja na wananchi mbali mbali katika maulidi ya kuadhimisha kuzaliwa mtume muhammad (saw) kitaifa yaliofanyika katika Viwanja vya Maisara mjini Zanzibar.

Comments are closed.

error: Content is protected !!